Imagine if: Kulikua na mtoto mmoja mtukutu sana, mtoto huyo aliishi na mama yake mzazi, waliishi kwa mazingira duni sana japo mtoto huyo alikua mjanja sana. Alikua anauwezo wa kufanya michezo tofauti tofauti na watu wazima kisha akawashinda, alichokipata alimpelekea mama yake watumie.

By Doreen Dorvan · 1 segments · 1 contributors · 0 likes
A young boy grows up in a poor environment, but develops exceptional skills and outsmarts adults, leading to a surprising outcome.
child prodigypovertymaternal loveself-relianceexceptional abilitiessurvivalself-discovery

Imagine if: Kulikua na mtoto mmoja mtukutu sana, mtoto huyo aliishi na mama yake mzazi, waliishi kwa mazingira duni sana japo mtoto huyo alikua mjanja sana. Alikua anauwezo wa kufanya michezo tofauti tofauti na watu wazima kisha akawashinda, alichokipata alimpelekea mama yake watumie.

Imagine if: Kulikua na mtoto mmoja mtukutu sana, mtoto huyo aliishi na mama yake mzazi, waliishi kwa mazingira duni sana japo
Continue reading on ImagineIf →